Homa La Jiji Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Homa La Jiji - Nedy Music
...
Sawa sawa Sawa*2 aye yeyeeee.
katoto Kako mukide, kabody yemi alade,
kitandani ni shikide, nishike nikushike wee,
mi moyo wangu taabani kwako, huwez maisha sihami wako, nivute kotekote utokako nikisema we hakuna mwingine*2
vya ndani anatana kinoma aanha!,mi sifa kwenye mechi utakoma aanha!,Akizungusha mguu maradonna*2 aaha aha aanha!
aanha aanha aanha unanipa mi vya Moto#aanh anha aanha eeh eeh kwako nimepoa*2
mi love, unachofanya unanikoleza,
mi love atadira nshapoteza,
mi love chochote kwangu we ongea.. yeee eee!
usipende ma #kiki kiki jua penzi utapoteza,
wanafiki fiki mbele wataja jikweza*2
vya ndani anatana kinoma aanha,mi sifa kwenye mechi utakoma aanha,Akizungusha mguu maradonna*2 aanha anha aanha,
aaanh aaanh aanh unanipa mi vya Moto aaanha aanha aanha, eeh eeh kwako nimepoa*2
homa la jiji umeliwasha, vuta nikuvute tumenasa*4 aanha aanha aanha(homa la jiji umeliwasha) unanipa mi vya Moto#(homa la jijiumeliwasha)aanh anha aanha eeh eeh kwako nimepoa (homa la jiji umeliwasha, vuta nikuvute)aanha aanha aanha unanipa mi vya Moto#aanh anha aanha eeh eeh
homa la jiji umeliwasha, vuta nikuvute, kwako nmepoa. -yogo in the beat-