![Milele](https://source.boomplaymusic.com/group2/M00/08/AB/rBEeM1gRqKWALoL5AABi7teGSZc084.jpg)
Milele Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2016
Lyrics
Milele - Mercy Masika
...
Eeeeeeeeeeh nataka kukaa nawewee
Eeeeeeeeeeh nataka we nikuimbie baba
Kuwa karibu nawe minapenda
Kuwa karibu na wewe niko huru
We hunifunza njia zako kweli nazipenda
Kwani njia zako nimetambua
Zanifaa mimi maishani mwangu
Unifunze nitengeneze niwe kamaaa weeewe
Nataka Kukaa nawewe siku za maisha yangu
Nataka we nikuimbie Yesu milele hata milele
Kuwa karibu nawe (ninapenda)
Mahala wewe Yesu (we ulipo)
Nakutamani wewe ni tamaa ya roho yangu
Ooh ni afadhali siku moja na we
Kuliko maelfu mahali pengi
Kuna amani (furaha tele)
Nakupenda we ni we
Nataka Kukaa nawe siku za maisha yangu
Nataka we nikuimbie Yesu milele hata milele
Eeeeeeeeeeh nataka kukaa naweee
Eeeeeeeeeeh nataka we nikuimbie baba
Ooooh uouo Milele nikuabudu babaaa
Nikuimbiee Nikuabudu eieeeeeieeee
Siku zangu zote
Eeeeeeh nataka Kukaa nawe siku za maisha yangu
Eeeeeeh nataka we nikuimbie baba milele hata milele
Eeeeeeh nata nitembee na wewe siku za maisha yangu
Eeeh nataka we nikuinue baba milele hata milele
Sha