![Mapacha](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/12/15/105bd7b626954f6e8ebdcbe5b6bbc3f6_464_464.jpeg)
Mapacha Lyrics
- Genre:Afro Soul
- Year of Release:2009
Lyrics
Mapacha - Sauti Sol/Dela
Mapacha hawatenganishwi kalmu nami muandishi muandishi
Usinilenge mi malanga aa
Sina mengi mimi nina shairi mashairi
Oooh wajua nakupendaaa wajua nakulinda musichana wa afrika
Wajua nakupendaaa wajua nakulinda we kidosho wa afrika
We uje nizalie musichana
Nami nikupe wewe kijana
Penzi linawiri nakamwe tusilisalitiii
Sina mengi mm nina shairi mashairi
Oooh wajua nakupendaaa wajua nakulinda musichana wa afrika
Wajua nakupendaaa wajua nakulinda we kidosho wa afrika
Wo wo woouuu
Wo wo woouuu
Ooooh ni wewe tuu ni wewe napeeendaa niwewe wewe
Ni wewe nataka
Africa nzima yakutamani ni weweee ni wewe wewe wewe wewe wewe eeee
Wajua nakupendaaa musichana wa afrika
Wajua nakulinda we kidosho wa afrika
Wajua nakulinda
Ni wewe
Wajua nakulinda we kidosho wa afrika
Wajua nakupendaaa
Wajua nakulinda musichana wa afrika
Wajua nakulinda
We kidosho wa afrika
Wajua nakulinda musichana wa afrika
Wajua nakulinda
Wajua nakulinda
Wewe wewe ni wewe
Wajua nakulinda
Musichana wa afrika
Musichana wa afrika
Musichana wa afrika
Afrika
Musichana wa afrika
Musichana wa afrika
Musichana wa afrika