Malikia Lyrics
- Genre:Afro Soul
- Year of Release:2011
Lyrics
Malikia - Sauti Sol
...
Wengi wao wamenyosha mikono
Wataka upokezi toka kwako
Na hata wenye magari ya kifahari
Najua kwako wewe hawatoshi
Usinilenge Usinipelekepeleke huku na kule
Uje unipende
Uje hata nao mapacha unizalie
Njoo nikumiliki milele
Malikia tuoane Wewe ni mimi, Mimi ni wewe
Na milele tupendane
Usinifungie pazia
Malikia nakuita
Usinifungie pazia
Malikia nakuita
Malikia nakuita we uje unizalie
Malikia nakuita we uje unizalie
Malikia nakuita we uje unizalie
Malikia nakuita we uje, uje
•••••••••••••••
Mabepari wasio na mapenzi halali
Watazidi kukunoki hoi
Na hata wenye magari ya kifahari
Najua kwako wewe hawatoshi
Usinilenge Usinipelekepeleke huku na kule
Uje unipende
Uje hata nao mapacha unizalie
Njoo nikumiliki milele
Malikia tuoane
Wewe ni mimi Mimi ni wewe
Na milele tupendane
Usinifungie pazia Malikia nakuita
Usinifungie pazia Malikia nakuita
Malikia nakuita we uje unizalie
Malikia nakuita we uje unizalie
Malikia nakuita we uje unizalie
Malikia nakuita we uje, uje
√√√√√√√√√••••••
Malikia, karibia...
Malikia, karibia...
Malikia, karibia...
Malikia, karibia...
Malikia nakuita we uje unizalie
Malikia nakuita we uje unizalie
Malikia nakuita we uje unizalie
Malikia nakuita we uje, uje...
•••••√√√√√••••••√√√√√√••••••••