Hamsa Mia ft. Dogo janja Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2018
Lyrics
Hamsa Mia ft. Dogo janja - Prezzo
...
hamsa hamsa prezoo hamsa janjaro ndani ya club na washkaji tumekaa chupa after chupa leta waiter nikamcheki mtoto mmoja mwondoko ana nensa nensa hamsa hamsa mia ikanipa miminia ya kumkaribia na maneno matamu kumwambia nikaenda box akaingia hata dakika haikufika tuko chumbani na mshumaa tuko tuko Kama tulivyozaliwaa hamsa hamsa mia shika manzi kando yako dandia hamsa hamsa mia hamsa hamsa mia hamsa hamsa mia usione aibu mummy katika hamsa hamsa mia hamsa hamsa mia hamsa hamsa. the bad man Buda applause baby nakupendanga tuvuke namanga twende naii Hadi ilonga huko nyuma ni kitonga kwako nimekaa na nanga cheupe wa kitanga kiuno kina shanga nakuchapa kwenye giza kwenye mwanga mimi kwako so danga hebu taa zimanga ntatakaa kukukuku usiku wenyewe huu mchanga hamsa hamsa mia shika manzi kando yako dandia hamsa hamsa mia hamsa hamsa mia hamsa hamsa mia usione aibu mumy katika hamsa hamsa mia hamsa hamsa mia hamsa . hamsa huko nyuma mumy umefura hamsa eeeh ni chura yarabi Wala si sungura kichwani nawaza kurarua hamsa eeh nibemende acha wavimba waseme eeh napenda penda mmh ama mende like tendo tulitendee hamsa. hamsa mmia shika manzi kando yako dandia hamsa hamsa mia hamsa hamsa mia hamsa hamsa mia usione aibu mumy katika hamsa hamsa mmia hamsa hamsa mmia hamsa mj records hamsa hamsa hamsa hamsa