![Baadaye ft. Rabbit King Kaka](https://source.boomplaymusic.com/group1/M01/19/7E/rBEezlttSpqAFhHWAAEUOyfAhZo717.jpg)
Baadaye ft. Rabbit King Kaka Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2015
Lyrics
Baadaye ft. Rabbit King Kaka - Amos And Josh
...
nihau uliniacha mi bila faham kuwa ni yako zamu angalua ungeniambia eti unakam nitulize hamu, wangu wa dhati tama zangu zimenikwamiaaaa,mikononi labda hu ni mwisho wa dunia.
(safiri salama salimu maulana tutaonana badaye )×2
ooh ndioooo tutaonana badaye ,mpendwa ndioooo tutaonana badaye ..
(nakam nakam mpendwa tabasamu tutaonana baadaye)×2
ok natamani kujua wat your plot is hata landlord hupeana notice aki maulana ingilia kati things ni expensive but worth it kwanini uliamua kutangulia diet yangu imechange Tabia kulia usingizi nakutamani kushoto kulia unakuja lini nitabasamu tena, unanitenda, aliyekuchukua cjui nani alimtuma maombi nihatua kati rudi nyuma joining nikirudi nikupate kwa nyumba vitu vimeshikana ni ngumu kuvunja but kama unaharaka nenda kwanza niko na eye but umsalimie maulana.
(safiri salama salimu maulana tutaonana badaye)×2
ndioooooooooooooooooh
ndioooooooooooooooooh
tutaonana badaye
(ooh nakam nakam mpendwa tabasamu tutaonana badaye )×2
ndioooooooooooooooooh ×4
nakam nakam mpendwa tabasamu tutaonana tuonane badaye ×4