Get Premium

Mafans Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2018
Lyrics
Mafans - Prezzo
...
Mafans mi nawapenda wote
mahaters kama hamnipendi
kuleni sembe
Meza wembe
Nawapa life kama Saida Karoli
na wenye wivu wajinyonge
Mafans mi nawapenda wote
Mafans mi nawapenda wote
Na maautograph nitasign siku zote
Nawashukuru walio nihold down
Na Kwa hii rap game sitawalet down,
I promise, mi nawapa promise tu,
Album yangu itakuwa hit tupu,
so, you better act like you know
wakiuliza nani anaroga sema Prezzo
Me nawapenda wote