![Mapenzi Jeneza](https://source.boomplaymusic.com/group1/M01/7F/AD/rBEeMVtp3LWAJZ2AAACmmzPg3Pw950.jpg)
Mapenzi Jeneza Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2018
Lyrics
Mapenzi Jeneza - Barnaba
...
uwaaaa ibebeee
Emma the boy on the beat classic
ibababeiii iraaa iradadaaa
nilimpenda miaka tisa
penzi LA miezi sita likakatiza upendo.
chuki akazidisha na kuyaanisha malengo oooh
najutia muda kupoteza malengo!
Kama kinywa kakitia pengo
mapenzi yanauma eeeh
ananaah na moyo sio chuma eeeh eh
na mapenzi hayana komando
na moyo wangu kaubeba kwenye lambo eeeh oohnananaaah
nilifosi kupenda pengine eti nafsi itatulia Ila wapi kipendacho roho hula nyama mbichi oohnanaah
aah eeh sina budi kukubaliana na huamuzi aliochukua Kama mpenzi ntapata mwingine na nafsi itatulia aah oohnananaaah aah eeeh
yatakwisha!!!
izo nyodo za kupostiana Instagram
yatapita!!!!
Mara Snapchat Mara Facebook
nantasahau!!!!
nitaacha kulia naa no oo!
mili kubaki geuka
najikuta nashindwa kunamuda nawaza upumbavu