MATAKO YAKO ft. djprodluigi Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
Kunipima, kunipima, kwani mi thermometer
Tumekimbizana hizi makilomita
Naonanga 140 kwa speedometer
Haiya
Kuniseti, kuniseti, kwani mi ni sistako
Nimekuwa mzii tangu kitambo
Hadi wakinicancel
Mi naskiza tu ma dancehall bana
Unadhani mi matako yako
Kwani we ni nani wewe ni nani
Unajidhani we mkali
Unadhani mi matako yako
Nilijua hawanijali natoka mbali na bado wananilaani
Unadhani mi matako yako
Mihadharati mbalimbali na doba kali
Nimejipin na mlami
Unadhani mi matako yako
Kwani Kanzu ni nani
Ni yule chali amejiseti na wabarbie yah
Ala
Si basi ujilambe
Kaa inatamba basi katambe usinitaje
Uh huh
Si basi ujipange
Kaa inabamba si itubambe itakuwaje
Tumegusa murima uliza Riggy G
Na ukiseti mogoka tafuna Big G yoh
Na ma bad B hunifuata IG
Marashi lipgloss na visine
Unadhani mi matako yako
Kwani we ni nani wewe ni nani
Unajidhani we mkali
Unadhani mi matako yako
Na si ujibu swali wewe ni nani
Unajiona geti kali ah
Unadhani mi matako yako
Jiheshimu tafadhali
Hapa ni wapi umejipox katikati
Unadhani mi matako yako
Kuendesha bila gari
Ufala zako hatutaki
Cheki, cheki, cheki
Umegongewa na si mayai
Wanasema spill that tea na sio chai
Wametoka Nairobi na maisha ni Dubai
Na economy ngori manze ni true story
Na wameniboo najua nitawaexcite
Na ukiblow majuu wanakucosign
Hawataki niblow nyumbani
Heri tu niko na choo nyumbani
Kunipima kaa matako ya nani
Unadhani mi matako yako
Kwani we ni nani wewe ni nani
Unajidhani we mkali
Unadhani mi matako yako
Nilijua hawanijali natoka mbali na bado wananilaani
Unadhani mi matako yako
Mihadharati mbalimbali na doba kali
Nimejipin na mlami
Unadhani mi matako yako
Kwani Kanzu ni nani
Ni yule chali amejiseti na wabarbie yah
Na marappers wanagossip kaa shit
I'm in Gikomba for my outfit
And if the shoe fits basi I'll wear & tear it
Kanzu been moving careless
Nini mbaya na huyu kijana
Amekam kutubeba ufala skia sasa
Sii hii ndiyo drama mlitaka
Wakiona takataka si tunaona sadaka