Make Me Sing ft. Minado Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2024
Lyrics
Make Me Sing ft. Senny Motion & Minado - V AKADEMY
...
iwe kiangazi au masika haya na mvua jua ineed your love me nko safe babe miti sekunde ama dakika na siunajua bila ya wewe siwezi upepo mwanana unaovuma moyoni mwangu unanipa Mimi furaha ni wewe kuondoka we sitamani baki nami my honey we waridi so ma babe you make sing
chorus
weuwa weuwa weuahidi nimekuchagua
uwe na Mimi tu I don wanna see you with somebody mwenzako ninawivu debe mmh
konakona sina we ndo umeridhika mtima wangu eeh wangu eeh oooh
mpaka nguvu sina umeniroga
mazima wangu eeeh wakwangu
eeeh
upepo mwanana baki na mi my honey
we waridi I swear babe yu make me sing
____________