![Leo](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/08/27/3185ae30d824414d913ceeaa9f2a0c81H800W800_464_464.jpg)
Leo Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2024
Lyrics
K2GA - LEO Lyrics
INTRO
Oooh aaah
Baby leo
Ninamauwa yako leo
VERSE 1:
Ninamengi yakusema
Leo hii niyaseme tu
Nnavingi vyamoyoni
Hacha tu leo nivitoe tu!
Kama sifa ukubwa na lako pendo
Naridhika aaah umezidi wako urembo
BRIDGE
Unangozi ya Utoto (Yautoto)
Uzuri na wako mwendo
Na ulivyo wamoto aaah (Wamoto)
Hata aunaga scandal
Ahiii Wewe
CHORUS
Baby leo aah
Acha nikupe cheo
Ninamauwa yako leo
Wee wangu kipepeo
Instrumental Playing
VERSE 2:
Kweli noma eeeh noma
Yani noma eeeh aaah noma
Mapenzi "Mapenzi"
Ndio haya ndio haayaa
Mahaba aah unonipa ndio dawa
Upo upo "Upo" moyoni upo
Upo aah upo kwenye moyo upo
BRIDGE
Unangozi ya Utoto (Yautoto)
Uzuri na wako mwendo
Na ulivyo wamoto aaah "Wamoto"
Hata aunaga scandal
Ahiii Wewe
CHORUS
Baby leo aah
Acha nikupe cheo
Ninamauwa yako leo
Wee wangu kipepeo
Baby leo aah
Acha nikupe cheo
Ninamauwa yako leo
Wee wangu kipepeo
Instrumental Playing
Kompaaaa "Kompaaa"
THE END
(c)2024 Kings Music Records.All Rights Reserved.