![KEBS](https://source.boomplaymusic.com/group1/M01/7B/B5/rBEeMVs_CfOAT0MKAABiRaYF4o0738.jpg)
KEBS Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2018
Lyrics
KEBS - Nyashinski
...
Nataka uskie hii ngoma guns sijui vile uta feel ayagayaga
Already sijui vile una feel
Umezoeshwa vibaya ndio ujiwezi una skiza jamaa mbaya bana very true
Nawashika bila kuwavalia navy blue malaika ananishow umeweka mapenzi juu yeah
Rumours za mascandal za ulover na lady drama na ati statoe mahali ukona baby mama
Kwa mitandao kila siku ni story new bundles zako ziki isha utapitwa usipo renew
Kaa pedi niko chini ya waba leo dredi zinafungwa juu naishi mahali juu kaa anga so daily na enjoy the view
Ukitaka kuona roho chafu shika doe kidogo uone vile utaboo watu
For ten years hamkuwa mnajali mahali ninalala hii screwdriver yangu ni shimo gani ina screw
Mtu mahali ameamua hatalala salama kabla ahakikishe ameiambia watu Nyash anajiduu
Staki kuona watu wakiku celebrate role model na watoi wanaku imitate
Haumangi peke yako tuna split hii plate au tuku trendishe vile tulifanya Jimmy Gait
Hii industry ina ma demon uko sure unataka fame?
Pengine ndio maana si blend in juu unaeza tell kuna vile mi na hao hatuko same
Mi si ng'ombe yaki ya gredi du!
Umezoeshwa vibaya ndio hujiwezi mmh unaskiza jamaa mbaya bana very true
nawashika bila kuwavalia navy blue malaika ananishow umeweka mapenzi juu
KEBS Standard ya quality sisi hapa KEBS mmh hii ndio standard ya quality hii nana nana KEBS hahaha KEBS
Yeah nawaskia mkiongea naamua kukaa kimyanaona far ka twiga au kaa mjinga ama bouncer au napima
Wazimu nawazima kwa simu nna ya sima ya mchuzi ndio sina
You can't believe all this bullshit you're reading you can't be really considering singing
Big fat cheque for Nyashinski though ata kaa Mungu Pekee haikuwa na video
Ana ngoma tatu pekee tumwitie nini show naskia kwenda ma interview anaitisha milioni
You can't believe all this bullshit you're reading you can't be you can't be you can't be serious
You can be anything you wanna be a drug addict (you drug addict)
Nyumba runda bado tu ni fantasy list ni watu wawili mi na King wa South C
Mkipenya mna penya but your eyes can't see uko busy kwa group tu hating on me
Eti he has a big EGO he refused to follow me on IG am not voting
God bless you even before you sneeze It's a free country you can do as you please
Nikiamka Sunday nijipate on my knees ntakuwa nasema asante sio please
Umezoeshwa vibaya ndio hujiwezi mmh unaskiza jamaa mbaya bana very true nawashika bila kuwa valia navy blue malaika ananishow umeweka mapenzi juu
Ndo yule wanayemsema yule jina lake wanamwita Ego huyo
Kubali mziki umeenda shule na mashow si pia ndio hizo
Mziki nakupenda milele cha kututenganisha kifoo yeah