![Ni Zako](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/08/06/a926813442424f1caa2850bb096165e6H3000W3000_464_464.jpg)
Ni Zako Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
Wewe uketie mawingu (You who sits in the heavens)
Walitazama agano Lako (You watch over Your Word)
Uyatimzie yalio (To perform)
Nenwa kwa roho wa kweli (What was spoken by Your Spirit)
Mawingu na Viumbe (The heavens and creation)
Vya inama na kusujudu YHWH (Bow down and worship YHWH )
Ufalame wako utukuke (May your Kingdom be glorified)
Milele hata milele (Forever and ever)
Mamlaka na nguvu (Authority and power)
NI zako ewe Bwana (Belongs to You oh Lord)
Utukufu na Sifa (Glory and praise)
NI zako ewe bwana (Belongs to You oh Lord)
Ni zako Ewe Bwana (Praises belong to You Oh Lord)
Umetukuka (You are Glorified)
Umeinuliwa (You are lifted)
Umeketi kwenye sifa zako