
USHANICONVINCE Lyrics
- Genre:New Age
- Year of Release:2024
Lyrics
Ayaya hizi ni gani
Mi kevo mimi usinijaribu tena
Usinipigie
Ilikua weekend ukaniconvince
Lakini eh
Unatishia samaki na maji
Mama yangu akijua nimelala wapi wewe
Ati Joh bazenga si tuwashe tu kimoja ushaniconvince
Niko detox na mmeleta hizi mzinga ushaniconvince
Si tuwai jaba zitupeleke hadi aluta ushaniconvince
Amebeba na anasema nimfwate kwake ushaniconvince
Si tupige sherehe ushaniconvince
Tuchangie kaquater ushaniconvince
Ama ikue mzinga ushaniconvince
Vodka na velo ushaniconvince
Si tupige sherehe ushaniconvince
Tuchangie kaquater ushaniconvince
Ama ikue mzinga ushaniconvince
Vodka na velo ushaniconvince
Nishajiconvince Leo nachaganya zote nipate kwa mix
Leo Niko pande zote Leo Niko lit
Kama huko Madree hauwezi nigitch
Tulilala mavitu sasa tuko kwa ditch
Peng alisema
Mi ndio kusema
Nshamconfuse hadi kwao amehama
Ka si lumumba, nipate mirema
Kaa Nina pesa nipate ukunda
Parari parari pararira pipi
Pull up in nganya vibe check vipi
Ukikaa vibaya unawekewa bibi
Naskia sijui aje naskia fiti
Parari parari pararira pipi
Pull up in nganya vibe check vipi
Ukikaa vibaya unawekewa bibi
Naskia sijui aje naskia fiti
Ni sherehe na kuna chakula aaaaaah ushaniconvince
Ati twende na gari iko full tank aaaaaah ushaniconvince
Anasema anataka na soksi lazima ushaniconvince
Ninaiona jkwa dera na mmmmmmhuh ushaniconvince
Hiyo ni mtungi ya yellow na si ya mafuta ushaniconvince
Ni mraaaa ushaniconvince
furaaa ha ushaniconvince
Yoh braaaah ushaniconvice
Kuna furahaa
Ushaniconvince ushaniconvince ushaniconvince
Baby daddy ni kulea tu hujaniconvince
Ati tuma kwanza fare hujaniconvince
Nakunywaga tu belaire hujaniconvince
Am a virgin I swear hujaniconvince
22 anapenda rhumba hujaniconvince
Day 1 ashanipenda hujaniconvince
Sijamuona bila makeup hujaniconvince
Am allergic to rubber hujaniconvince
Ati Kwani hunitrust hujaniconvince
Usinikule kichwa ka wewe si panadol underdog
Nitaweka kando kama ako na thong
Mi ni Thor
Nyundo amependa mpaka anataka antidote
We need to talk
Coz kuna vile hajaniconvince
But kuna vile nimemuconvince
Ah
Nimemuconvince
Hajaniconvince
Nimemuconvince