![Watajua Hawajui ft. Msupa S](https://source.boomplaymusic.com/group1/M01/0F/59/rBEezlsEDf2AD3TyAADpETtRFzk003.jpg)
Watajua Hawajui ft. Msupa S Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2018
Lyrics
Watajua Hawajui ft. Msupa S - Khaligraph Jones
...
You know we had to make it happen
Khaligraph Jones
Msupa S
You already know
Go get em girl
You all ' s not ready
Hiyo chopper iko steady
shot shot everywhere ( brr rr rr )
shot shot on the belly
Umeniona kwenye telly
Me ni kama Balotelli
Flow tight kama virgo
Lakini simaanishi Mary
He take money from you bitc& #s and he brings it back to me
I aint twerit about to pites i ' ma sip dis Hennessey
Becoz no kama gonna stuck, blow the kip flikati
We may run up on your back, if you diss the Kale queen
Kale queen , mimi staki drama
wanapenda vile mimi nachana
Mama we ah nione gah !
Ah mutingonyo , Ah muntungimye
geba tu wandonyo, kal tu wanjega
kyal tu an ingwe, ah kye wegega
kyam tu animye ,ai chap bingwe
age - lu chegaa , am muno chami
Kayole to Bomet wanapiga saluti brrrrrah !
mashore na ma fellow , ma diva, ma groupie. . . . . . Yeaaahhhh !
Papa na Msupa S tushajipa mashughuli . . . . . . . . . . ahhhhhh !
So wakijifanya hawajui
wakijifanya ndo watajua hawajui. . . . . . . . Ehhhh!( Khaligraph )
watajua hawajui( Msupa S)
watajua hawajui. . . . . . . . Yeaaahhhh !( Khaligraph )
watajua hawajui( Msupa S)
watajua hawajui, . . . . . . . Buda!!( Khaligraph )
watajua hawajui( Msupa S)
watajua hawajui. . . . . . . . Jui! ( Khaligraph )
watajua hawajui. . . . . . . . Jui! ( Khaligraph )
Endolet nimenunua samba
Nimefungua mbiasala Namanga
Bibi ndatoa Gatanga, Mahali ndalipa kama lolo atalamba
Mimi ni lafiki ya Luto
Ju ye ndio hunisikia mfuko
Msupa aliniso wakale wanapesa nikasema ntapitia huko
Now lets get back to reality
All of this niggaz you stopping, I might have to get on a track wth the queen
Girl you' re a G an ' I ' m lovin your
confindence and on the real , You ' re on your level
I love how you pushin your feet on the pedal
Na mbona mnajifanya hamjui pia me ni mkale ?
Why do you think they call me Julius Yego ?
Ka ni Buzz mimi ni baba Kamiti
Jeshi ka kura za Tharaka Nithi
John Snow , kwa hii game of thrones
Ju mikono zangu ndio zina dara Khaleesi
Me ni msee wa kismaat, para sina
swara sina na hasara sina
ukitaka ata unaeza uliza Sara Amina
nina hype kama ile movie ya Sarafina
Nilijua tukifanya hii collabo hii industry tutaimess
Ju track tunaipiga na kale na ina come na mzuka fresh
So next time you see me salute me ju me ndo the buda yesss !
Unadhani utaezana na OG akikuja na
Msupa S
Kayole to Bomet wanapiga saluti brrrrrah !
mashore na ma fellow , ma diva, ma groupie. . . . . . Yeaaahhhh !
Papa na Msupa S tushajipa mashughuli . . . . . . . . . . ahhhhhh !
So wakijifanya hawajui
wakijifanya ndo watajua hawajui. . . . . . . . Ehhhh!( Khaligraph )
watajua hawajui( Msupa S)
watajua hawajui. . . . . . . . Yeaaahhhh !( Khaligraph )
watajua hawajui( Msupa S)
watajua hawajui, . . . . . . . Buda!!( Khaligraph )
watajua hawajui( Msupa S)
watajua hawajui. . . . . . . . Jui! ( Khaligraph )
watajua hawajui. . . . . . . . Jui! ( Khaligraph )
Wakidhani ndarudi chini ,watajua hawajui !
Me nirudi chini bado ,watajua hawajui !
Naenda mbele bado , watajua hawajui!
Naenda mbele bado , watajua hawajui!
watajua hawajui! watajua hawajui !
watajua hawajui! watajua hawajui !
watajua hawajui! watajua hawajui !
watajua hawajui!