
Sina Muda Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2015
Lyrics
Sina Muda - Nay Wa Mitego
...
jeah mikongito jazz band iits me again
free nation ready to kill yeah
its 966 baby
ebu tuliza butubutu maisha hayataki papara
uliweka tamaa mbele utapigwa kipara usicheze na kazi ndugu cheza na mshahara
ukiona mambi haiendi basi toa mtu kafara
ulizaliwa pekeyako na utakufa pekeako
ety baby I love you aaah kampende mamako
uyo pekeake ndo anajua uchungu wako
unapenda vyadezodezo mwanaume utaliwa tako
wanasema unavyta bangi
wananizingizia
wanasema unapenda ngono
hilo sikatai ni kweli napenda sana mpaka nasahau ya jana wanasema vunja mifupa ungali bado kijana
usishindane na demu wa mwenzako ataolewa ,atahongwa na nyumba atajengewa vipi mwanaume mwenzangu nawe utatafta bwana wakukuonga nakukuchezea ukitamana vya wenzako vitaliwa na vyako cha mamako sio chako ,cha babako sio chako
uki
usivimbe na vya dem wako wekoro itakula kwako aaaah tafuta vyako
sina bidiiiii
wacha wagombane waambie sina muda busy na mapene na wakitaka tupatane waambie muda haurudi nyuma unaenda mbele
aeaeaaeaeaeaeaeaaeaeaeaeaeaeaea
mapenzi ya kweli zamani sikuizi tunadanganyana tu akikuita honey kwa wenzake we ni mbuzi tu tangulini binadamu akawa mbuzi nachukia mapenzi yakuitana mambuzi wananishauri kuoa mi nawaza ubillionaire hii game ukishaoa ndio ticket yakupotea hiki kina kirefu we huwezi kuogelea nikiamua kukuchana sitafuti chakuongea usimlazimishe dem akikupiga kibuti
tafuta mkali zaidi yake mpaka apige saluti
Mi natembea we kimbia huwezi nifikia
huna lengi huna nia unaota ubillionaire
oya kaza panapokazwa chunga usikazwe
funga panapofungwa omba usifungwe siunajua insta madem wanapojishauwa wote mabosslady tena kwao wakishua
matoss wanakowazia sura
hakuna dem mbaya insta wote ni visura
kutana naye live utakimbia kama chura
ukinipiga na jiwe mi nakugonga ba chupa ukinitisha nakuchapa
acha wagombane waambie sina muda busy na mapenee na wakitaka tupatane waambie muda haurudi nyuma unaenda mbele
aeaeaaeaeaeaeaeaaeaeaeaeaeaeaea
two boys in the building
aeaeaaeaeaeaeaeaaeaeaeaeaeaeaea
its 966 baby
aeaeaaeaeaeaeaeaaeaeaeaeaeaeaea