Hongera Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2024
Lyrics
Hongera - Rayvanny
...
mmmmmmmh
mmmmhh aaaaaaaah
hongeraa unaitwa mama mama Leo unaitwa mama leooo*4
mmmmmmhmh
furaha pande zote sio kwa Babu bibi baba mama imekuja baraka kwenu mungu amemleta mwana
teamo tantooo wewe na yeye mnaendanaa mpate katoto halfcast kawaite baba na mama
nikiona tumbo lako tabasamu lako kweli kitanda akiongopei nasubiri siku Yako uzae baby wakoo zawadi kemkem tukugeee
uzur wa sura Yako na mtoto wakoo kweli damu haiongopei nikiona pua Yako mdomo macho Yako akuna haha ya DNA
hongera unaitwa mama
unaitwaaa mama Leo *4
pole nàjua leba ni mateso
vumilia utasetoo kuwa mama kitu special mtoto taifa la keshoo kama alivyo kupenda mama nawe mpende mwanaoo ataishi kama yupo peponi upendo wakoo ukiwa naoo na mapenzi ya wazazi ya dumu sana ugomvi achana nao