![Namleta](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/04/14/8f1890a19cf84310ba9a201b68feecec_464_464.jpg)
Namleta Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2024
Lyrics
Namleta - Diamond Platnumz
...
Namleta Rais namleta mwenyekiti namleta
Namleta mama Samia namleta Suluhu Hassan namle
Amiri Jeshi Mkuu Samia Mtetezi wa wanyonge Samia
Mpenda haki Samia Suluhu Hassan Samia
Ooooh mwanamke shupavu samia
Mpenda demokrasia samia
Aaaah superwoman Samia Suluhu Hassan Samia
Waite wenyewe waje wayaone maendeleo anayoyafanya
Waite wenyewe waje wayaone wajue kwanini tunampenda sana
Huduma za Afya bure kwa wanafunzi
Treni mwendokasi barabara za juu
Kaongeza mikopo kwa wanafunzi vyuo vikuu
Michezo imepamba moto ka kifuu
Namleta muone
Namleta Rais namleta mwenyekiti namle
Namleta Rais Aaaah namleta mwenyekiti namle
Namleta Mama Samia Namleta Suluhu Hassan Namle
Namleta Rais Aaaah namleta mwenyekiti namleta
Amiri Jeshi Mkuu Samia Mtetezi wa wanyonge Samia
Mpenda haki Samia Suluhu Hassan Samia
Ooooh mwanamke shupavu samia
Mpenda demokrasia samia
Aaaah superwoman Samia Suluhu Hassan Samia
Na 2025 tunaenda tunaenda nae
Tunaenda na mama Samia tunaenda nae
Oooh tumeamua tuna, tunaenda nae
Tunaenda na mama wa Taifa tunaenda nae
Bodaboda mnasemaje tunaenda nae
Wakulima mnasema tunaenda nae
Wakina mama sijasikia tunaenda nae
Vijana tunasema tunaenda nae
Ile Ile Ile Ile pale Ile
Tanzania Ya Samia Ile
Inameremeta Ile
Ona ina amani Ile
Watalii wanamiminika Ile
Ina upendo yaani Ile
Wawekezaji wanafika Ile