Malume24 Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2024
Lyrics
Malume24 - Moni Centrozone
...
uhh
central zone east zoo baby
haaah, ni muhimu
ahhh roof tenga
MALUME ..What we sayin
nishapita hard way mniga analiwa na mamba
sio maneno btw huwa yanatiwa ata kwa kanga
kwetu far away af sina uchungu ata na baba
kabla ajapass away rafiki wa kweli alikua ...
akuna siri the way I'm doing my shit
kuna wana wanaroga af wanasema GOD DID
tushapiga pota za kisouldier mlo wenyew mmoja
vipaji vyetu waliviona kapii
nimejigadi kwa kombora la utambi mwanga na radi
najijua sio wakishua mana kwetu akuna miradi
mambo ya Houseparty nimechoka ilo jiji
nikozangu shamba za bahri uko kimbiji
wananitumia mialiko na bado siji
niko zangu tabata na mwanangu baddie widdy
.......
sicheki na ww kwasababu ya uongo na umbea
nlianza tupa mawe masnitch wakasema naotea
nafanya yangu kama moni siezi kua mangwair
ahh maswing ........
naskiliza wakibishana akina .....
ahh truth worthy ,trust what
marafiki watakukanga watakurostii
ufunge biashara ukose Kodi ukose noti
wanajua ad kona ya kitanda chako itakukosti
siwezi lala kwenye level kuna uzuri kwenye struggle
uchungu ukifanikiwa watu wanataka ulichonacho
sometimes chai bila kitafunwaa
napotoka pakame ndo mana kichwa nakuna
ngumi kali haifai mbele ya zuna
unajiona unatamba machizi wanakuona (ooouh)
naona matozi wapo bize na vyuma
af naona mademu zao ni dozi mbili za azumaa
mwenzako sio ndevu tu adi pesa nmezifuga
... ma madawq najua jinsi ya kujichunga
lengo nkupiga pesa kwa rapper wa ma bye budda
mwandish mpka leo unauliza stori ya nai hudda
(fu** off)
...... mzeee
majengo sokoni
malume.
roof tenga
ahhhh KANIBA!!!
IG @_.glor