![Ninogeshe](https://source.boomplaymusic.com/group2/M01/0B/D7/rBEeqFrq3qKASF8MAACEB0S8DI0578.jpg)
Ninogeshe Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2018
Lyrics
Ninogeshe - Nandy
...
Heeeeeh...
Mmmh yeeeh yeah...ueNB
Emma the boy on the beat
Aai ni wewe ubavu wangu mwenyewe
Ukifa nizikwe na wewe,
Nikifa uzikwe na mie
Oh baby wee
Ninogeshe, ninogeshee baby
Baby ninogeshe
Ninogeshe, ninogeshee baby
Baby ninogeshe
Aaah kwachukwachu kushea na watu sitaaki
Ooh baby
Boda boda yangu vipi nipande mishikaki
Siwezi!
Basi ninogeshe, ninogeshee baby
Baby ninogeshe
Ninogeshe, ninogeshee baby
Baby ninogeshe
(Raha, raha tupu
Kupendana na wewe, raha tu
Raha, raha tupu
Kupendana na wewe, raha tupu) ×2
Unanipaga furaha hivi
Ukiniacha utanipa jaka la roho
Nipe mimi kwingine we useme no
Shinde ibilisi kwenye kichwa chako ooohoo
(Mi mwenzako mkiwa baba
Mkiwa wa wapenzi baba
Usinione nalia sana
Nalilia mapenzi) ×2
Chochote utachoniambia (sawa... sawa...)
Mimi nitaridhia baba
Hata ukiwa mbali nitasubiria
Ah basi ninogeshe, ninogeshee baby
Baby ninogeshe
Ninogeshe, ninogeshee baby
Baby ninogeshe
(Raha, raha tupu
Kupendana na wewe, raha tu
Raha, raha tupu
Kupendana na wewe, raha tupu) ×2
Tusiwe Tyson na Evanda kisa kosa
(Kupendana na wewe)
Presha kupanda kushuka kisa nini?
(Kupendana na wewe)
Mi mwenzako nakupenda nafurahi
(Kupendana na wewe)
Nivike pete ya roho isiyotoka, mmmh!
(Raha, raha tupu
Kupendana na wewe, raha tupu
Raha, raha tupu
Kupendana na wewe, raha tupu) ×2