![Sisikii](https://source.boomplaymusic.com/group2/M01/0B/43/rBEeqFrgXGWAZkXQAADWKZMwghE893.jpg)
Sisikii Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2016
Lyrics
Sisikii - Maua Sama
...
emmah the boy(boy)
sisikii kwa penzi lako sioni
ooh baeby plz love me like you do
(nmegandana na ww mpaka mwisho me nipo na ww sitoshikwa na kiwew et nikuache ww)*2
chorus
sisikii kwa penzi lako cion
oo baeby plz love me lyk you do
(npe mapenzi yale yatokayo moyoni
kwengine ciend in your world is where i belong)*2
uuuh iam so into you(i am)
mpenzi mpenzi ooh(i am)
so into you(i am)
roho yangu baeby(iam)
just me an you(iam)
sina mwengine mwenzio(i am)
so into you
sisikii nmekuweka moyoni
wat i feel mapenzi ya kwel
nami cto kuacha we ucwe na was ctokuacha mwenyew nmefika kwako ww hilo mpenz nielew
sisikii nmekuweka moyoni
wat i feel mapenzi ya kwel
rpt chorus