![Mwaminifu](https://source.boomplaymusic.com/group2/M01/0C/EE/rBEeM1rfNJGAcRcQAAC1OPZ4QwU790.jpg)
Mwaminifu Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2016
Lyrics
Mwaminifu - Kambua
...
mwaminifu toka mwanzo hadi sasa ye anatosha ye anatosha
anatenda mambo mengi ya ajabu ye anatosha ye anatosha
mungu habadiliki kamwe
yeye halinganishwi kamwe
baba hafananishwi kamwe
anatenda mambo mengi makuu
tumuite baba tumwimbie yesu oooh
tumuite baba baba eeya eeya ×2
knowing this kind of a faithful God
knowing this kind of an awesome God
no one compares to you my king
you're an awesome God king of kings saviour
you're the alpha and still the omega
iam standing on a solid rock
mungu habadiliki kamwe
yeye halinganishwi kamwe
baba hafananishwi kamwe
anatenda mambo mengi makuu
tumuite baba tumwimbie yesu oooh
tumuite baba baba eeya eeya ×4
mwaminifu toka mwanzo hadi sasa