![Nakupenda](https://source.boomplaymusic.com/group1/M01/71/28/rBEeMVrQcG-APrb7AADKckANZSQ152.jpg)
Nakupenda Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Nakupenda - Natasha Lisimo
...
Nakupenda ewe Yesu
Kaa nami siku zote
Nifundishe njia yako
Nikupendeze Maisha yote
Nakupenda ewe Yesu
Kaa nami siku zote
Nifundishe njia yako
Nikupendeze Maisha yote
Ooooh Neema kwa Yesu
Nuru imeingia maishani mwangu
Mwanga wa hatua zangu Waniangaza nafsi yangu
Uwepo wako sasa watawala maisha yangu
Na giza limekaa mbali na Maisha yangu
Nakupenda ewe Yesu(Bwana wastahili sifa)
Kaa nami siku zote(wastahili kuabudiwa Yesu)
Nifundishe njia yako(eeie Yesu njia yako-nikupendeze)
Nikupendeze Maisha yote
Nakupenda ewe Yesu(Bwana wastahili sifa)
Kaa nami siku zote(wastahili kuabudiwa Yesu)
Nifundishe njia yako(eeie Yesu njia yako-nikupendeze)
Nikupendeze Maisha yote
Oohhh neema kwa Yesu
Nafurahia kuishi ndani yako
Nashangaa sana kumbe nawe ni ndani yangu
Sasa mimi ni Uzao wa Ibrahim
Baraka za Ibrahim ni sehemu yangu
Nakupenda ewe Yesu
Kaa nami siku zote
Nifundishe njia yako
Nikupendeze Maisha yote
Nakupenda ewe Yesu
Kaa nami siku zote
Nifundishe njia yako
Nikupendeze Maisha yote
Neema imekuja kwangu
Sikustahili bali ni kwa neema yako
Utukufu ni wako Bwana
Milele utukuzwe
Neema imekuja kwangu
Sikustahili bali ni kwa neema yako
Utukufu ni wako Bwana
Milele utukuzwe
Neema imekuja kwangu
Sikustahili bali ni kwa neema yako
Utukufu ni wako Bwana
Milele utukuzwe
Neema imekuja kwangu
Sikustahili bali ni kwa neema yako
Utukufu ni wako Bwana
Milele utukuzwe