![Mungu Msaada](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/02/06/f30d9da13bc740868d7f4e90fbd7dd35H3000W3000_464_464.jpg)
Mungu Msaada Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
Mungu Msaada wetu
Tangu miaka yote
Ndiwe tumaini letu
La zamani zote.
Kwanza havijakuwako
Nchi na milima
Ndiwe Mungu
Chini yako twakaa salama.
Na miaka elfu ni kama
Siku moja kwako;
Utatulinda daima
Tu raia wako.
Bwana Msaada wetu
Tangu miaka yote
Mlinzi wetu na ngome
Daima milele.
Wenyeji wako Na Utulinde( Mlinzi Na Ngome Tulinde Milele)
Mungu Msaada Tangu miaka Yote
Nawe Utulinde Daima Milele
Daima Milele
Mungu Msaada Wetu