Tumekuverify 24 ft. Lilly Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2024
Lyrics
Tumekuverify 24 ft. Lilly - Clouds Media
...
Aye! Aye! Aye! Aye!
Aye! Aye! Aye! Aye!
Aye! Aye! Aye! Aye!
Aye! Aye! Aye! Aye!
Tangu siku ya kwanza, uliponisikia. Uliniweka moyoni, tofauti na wengi.
Daima, nikadhamiria, kukutumikia.
Kuliweka hadharani, kopa letu la msingi.
Umenipa tiki ya uhakika, eeih nami sina budi, nami sina budi kuwajibika.
Ninakupa vinavyohitajika, eeih usishirika wako, ni wa uhakika.
Unaishi ndani yangu, naishi ndani yako dear( ndani yako pia)
Chorus
Tunaverify! Upendo(verify) Matendo, Tunaverify! Ushkaji, Upambanaji.
Tunaverify! Upendo(verify) Matendo,
Tunaverify! Ushkaji, Upambanaji.
Aye! Aye!
Ahadi yangu milele, nikukufungulia, duniaa.
Lyrics by Alpha360
X, Insta, Tiktok @ambassadorJr