![Faraja ft. Kerubo](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/03/14/29dc6f835ea64372aec721ef8de120a9_464_464.jpg)
Faraja ft. Kerubo Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2024
Lyrics
Mbona umejawa na huzuni moyoni mwako
Maisha nayo yamejawa na shida nyingi
Huna raha, wala utulivu moyoni
Faraja utaipata wapi….Nami ninasema kuwa
Faraja utaipata hapa Uuuuuuhuhuuuuuuu
Imo ndani ya bustani yako moyonihihihi
Faraja imo ndani ya nafsi yako
Faraja utaipata hapaaa
Usishikilie hayo, majonzi moyoni mwako
Hivi ndivyo ulimwengu ulivyo Huuuuuuu huuhuuu
Jitumbukize majini… jikumbushe
Faraja utaipata hapa. Nami nasema kuaaa.
Faraja utaipata hapa Uuuuuuhuhuuu
Imo ndani ya bustani yako moyonihihihi
Faraja imo ndani ya nafsi yako
Faraja utaipata hapaa
Ohoo ohoo ohoo uuuuuu uyi-yai-yai-yaahaha
Farajaa utaipata ooh
Faraja utaipata hapa Uuuuuuhuhuuu
Imo ndani ya bustani yangu moyonihihihii
Faraja imo ndani ya nafsi yako
Faraja utaipataa....hapaaaaaa