![Mtoto Wa Kigogo ft. Walter Chilambo](https://source.boomplaymusic.com/group1/M01/18/B8/rBEehltr2YOAU5IaAADCqWglf8c671.jpg)
Mtoto Wa Kigogo ft. Walter Chilambo Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2016
Lyrics
Mtoto Wa Kigogo ft. Walter Chilambo - Roma Mkatoliki
...
Heyaa
Two-one-two
Uwoo
Mguu kwa mguu
Heyaa (Tongwe Records baby)
Two-one-two (Sansee hehehe)
Uwoo
You are the one and only mami
And I’m the one man army
We sio mnyama ila unyamani maninja wanakuita mwami
We ni soldier I told ya na sio uongo
Nakumbuka zile hustle za Mbeya mpaka Nyamongo
Nilitupa harakati nikazama Mburahati
Kukupata sio zali boo na sio bahati
Wa Obay niliwapa nyodo
Wa Masaki sikuwapa shobo
Nikapiga ndefu shaaa kwa Nancy mtoto wa Kigogo
(Leo) Mrema na mummy (ndugu)
Na majirani wanakuita mama Ivan
(Nakuita) wangu wa ubani
(Lakini baby)
Do you see what I see
I see the honeymoon lover love them beautiful sea
Hehehe wuu kweli mepagawa
Baby unapiga kasia kama uko juu ya ngalawa
Mwenye asili yaki– (hehe)
Wachinjie baharini mi kabla– (sija barehe)
Niliota utakuwa na mimi
Sio mcharuko sio mchefuko
Sio mchepuko sio mlupo sio mdundiko
Wewe ni ndembendembe (khanga moko)
That’s why skwenda King’oko wala Boko
Sikwenda Morocco wala Coco
Nkuja kushoto Tongwe naijaza vocal
Kwako nimekuwa teja (teja)
Kama kilevi kikali we pombe umenilevya
Tunaishi ki-soldier (ki-soldier)
Tukikumbana na hali ya umande tunajiliwaza
Sa twende mguu kwa mguu
(Tufunge pingu baby kanisani)
Two-one-two
(Tuwaridhishe wazazi nyumbani)
Sa twende mguu kwa mguu
(Tule kiapo ikibidi iamini)
Two-one-two
(Mimi ni wako milele niamini)
You’re the mom of my son and I’m proud of you
And I’m like (sss aah sss ah)
Lets jig my boo
Nikikuhitaji jau jau nafurahi huna maringo
Kidume najidai nachapa kama Mandingo
Hiyo ni nje natambaa na lami
Ila kwake beki hazikabi chezea anzishe Tsunami
(Na ana wivu!)
Kama demu wa Kidigo nimpake majivu kantangaze nikuone mzigo
Na-hustle nae ana fight nani atatupiga tobo
Watoto hawachezi mbali unga ni robo
Kumwaga ndani sio mchezo muulize Hugo
Pampers imepanda bei na madogo wanakata gogo
Kwako nimekuwa teja (teja)
Kama kilevi kikali we pombe umenilevya
Tunaishi ki-soldier (ki-soldier)
Tukikumbana na hali ya umande tunajiliwaza
Sa twende mguu kwa mguu
(Tufunge pingu baby kanisani)
Two-one-two
(Tuwaridhishe wazazi nyumbani)
Sa twende mguu kwa mguu
(Tule kiapo ikibidi iamini)
Two-one-two
(Mimi ni wako milele niamini)
(Tongwe Records baby)
(Got my main man Geof Master)
Sa twende mguu kwa mguu
Heyaa
Two-one-two
Uwoo
Sa twende mguu kwa mguu
Heyaa
Two-one-two
(Mimi ni wako milele niamini)
(Mimi ni wako milele niamini)