Mechi Za Ugenini Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2017
Lyrics
Mechi Za Ugenini - Roma Mkatoliki
...
Tongwe records
Hey, show me your black bandana
Hey, show me your black bandana
Hey, show me your black bandana
Tongwe records
Instrunmental
Mi sio politician ni MC ufisadi tu kila kiwanja
Sa hizi na guarantee rhymes zangu tempted to touch
Put your hands up(hands up) kidole cha mwisho juu
Nawazidi kwa IQ, shahidi farid kubanda
Vipi anko baba tunda, Sele na Juma Mchopanga
Hii sio hadithi, ya Chinua Achebe na Saka Yonsa
Wanasifu bata kwa tampo za kwasa kwasa
Waloacha tizi wakawa ka Mrisho Ngasa
Mi nakomba pesa zote nasepa kama lowasa
Yeah haha wao nimewashusha bamaga,
Hiphop ina wigo mpana usiseme ipo tu R chuga
Ngaramtoni was my hood, whaaat?
Mchomvu skia hizi swagga
Walaini kama mafuta nawanyonya ka lady gaga
Jay ryder nyonga beat ka′ kiuno cha Yondo sister
Mi ndo mtoto wa Jakaya hadi ikulu napiga chata
Hakuna utata mbaratata, nasimama mpaka BASATA
Vaa gucci, vaa supra, na show nakufunga super
Wapo wakali tena waka. wakakimbia backstage
Game is under control nazidi fungua new page
Episode mpya naendeleza hii scenario
All eyes on me cause I run this show
J murder the big boss I'm proud of you
Kama hii track imekutouch kidole cha mwisho juu
Put your hands up(eeh) kidole cha mwisho juu
Put your hands up(eeh) kidole cha mwisho juu
Put your hands up(eeh) kidole cha mwisho juu
Yoh yoh wapi unakwenda, hebu njoo now put your hands up
Hapana kukaa man, come on now stand up
Tumble away, haha haha danger
Ni ngoma kali, mwenyewe naipenda, naila denda
Beat inakutega ha! kama duka la mpemba
Rusha mikono man, rusha na miguu ukipenda
Mkanda ukikatika amini ipo suspender
And I like the way wakija, I like the way hata wakienda
Hata wakivaa kanga, kanga bado wananibamba
Nakuwa mkubwa, kama kidole kidole gumba
Kamwili kembamba, ila mi ni namba.kubwa
Mmmh mmh eh mshamba
Kamuulize Anorld mwadai komando mwamba
Yoh man wats up, whats up come on hands up
Mi wa kigambo.ni, ingawa gamba sijaenda
No usiondoke, come back put your hands up
Usi ha usi mh mh minoko juu
No man nimechapia mikono juu
Put your hands up(hands up) kidole cha mwisho juu
Put your hands up(hands up) kidole cha mwisho juu
Usi ha usi mh mh minoko juu,
No man nimechapia mikono juu
Put your hands up(hands up) kidole cha mwisho juu
Put your hands up(hands up) kidole cha mwisho juu
Eti anajiita mgudi
Sishandani na mdoli yes
Kote utapita ila kwangu Kigoma mwisho wa reli
Backstage mnavuta sssss mi nasali rosary
Thats whats up kwenye show nawaficha hii ni hatari
Sikia bro I′m double XL try some more
Whats up bro unataka battle na mi niaje Joe
Hii ndo game ya ugenini siwezi kutoa draw
Dakika ya tisini chali wapinzani wako slow mo
Mnabebwa na media power, soon tu mta expire
Mi mbabe kama John Cena ukinizingua navunja taya
Mi mzawa, nawa torture ka Jack Bauer
Man hiphop haiuzi? ah wapi you're liar
Ndo nyinyi mnabishana nani ameanzisha viduku, aha
Maisha yenu mafupi dizaini ya umeme wa Luku, Sure!
Mnatoka September November mmeshachuja
Nyoosha mikono juu kama wewe ni Solja
Put your hands up(hands up) Kidole cha mwisho juu
Put your hands up(hands up) Kidole cha mwisho juu
Put your hands up(eeh) Kidole cha mwisho juu
Put your hands up(eeh) Kidole cha mwisho juu
Put your hands up(hands up) Kidole cha mwisho juu
Put your hands up(hands up) kidole cha mwisho juu
Put your hands up(eeh) kidole cha mwisho juu
Put your hands up(eeh) kidole cha mwisho juu
Put your hands up (Tongwe records)