![Karibu Nawe](https://source.boomplaymusic.com/group2/M01/6C/3A/rBEeNFqmXT6AZQ-GAADgWxc1Kxw072.jpg)
Karibu Nawe Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2013
Lyrics
Karibu Nawe - Reuben Kigame
...
Karibu na wewe,
Mungu wangu
Karibu zaidi,
Bwana wangu
Siku zote niwe
Karibu na wewe,
Karibu zaidi
Mungu wangu.
Mimi nasafiri
Duniani,
Pa kupumzika
Sipaoni,
Nilalapo niwe
Karibu na wewe,
Karibu zaidi
Mungu wangu.
Na ni elekezwe
Karibu na wewe;
Karibu zaidi
Mungu wangu.