![Kaa Nami](https://source.boomplaymusic.com/group2/M01/6C/3A/rBEeNFqmXT6AZQ-GAADgWxc1Kxw072.jpg)
Kaa Nami Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2013
Lyrics
Kaa Nami - Reuben Kigame
...
Kaa nami, ni usiku tena;
Usiniache gizani, Bwana;
Msaada wako haukomi;
Nipo peke yangu, kaa nami.
(Instrumental)
Nina haja nawe kila saa;
Sina mwingine wa kunifaa;
Mimi nitaongozwa na nani
Ila wewe? Bwana, kaa name.
(Instrumental)
Ooh Baba..
Nitaongozwa na nani mwingine?
Wewe tuu Baba
Wewe pekee Baba
Naomba ukae nami.
(Instrumental)
Nilalapo nikuone wewe,
Gizani mote nimulikiwe;
Nuru za mbinguni hazikomi,
Siku zangu zote kaa nami.
Siku zangu zote kaa nami.