![Uliniumba Nikuabudu](https://source.boomplaymusic.com/group1/M01/6D/87/rBEeMVqmK5aARCa0AADpBo8ZPAU287.jpg)
Uliniumba Nikuabudu Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2013
Lyrics
Uliniumba Nikuabudu - Angela Chibalonza Muliri
...
ULINIUMBA NIKUABUBU BWANA by
ANGELA CHIBALONZA
Uliniumba nikuabubu, uliniumba nikuabudu,
kwa ajili yako mimi naishi Baba, (uliniumba nikuabudu)
pasipo wewe nisingekuwepo, (uliniumba nikuabudu)
mimi ni kazi ya mikono yako (uliniumba nikuabudu)
Baba ninaona nikuabubu,
maana matendo yako ni mengi sana,
ishara zako baba ni nyingi muno,
maana wewe ndiye Mungu wangu uliniumba niseme matendo yako,
wewe ndiye Mungu wa miungu eeeeeeh,
haleluya baba,
wewe kimbilio letu na ngome yetu,
hakuna aliye kama wewe,
chorus
uliniumba nikuabudu baba, (uliniumba nikuabudu)
pasipo mimi nisingekuwepo, (uliniumba nikuabudu)
kama si wewe nisinge ishi baba
(uliniumba nikuabudu)
kwa ajili yako mimi naimba (uliniumba nikuabudu)
maneno yakusema yananikosa,
maana matendo yako ni ya ajabu
maana ishara zako ni nyingi mno,
kwa macho nimeona makuu yako,
masikio nimesikia matendo yako,
ndio maana nimetambua yakwamba niliumbwa nikuabubu eeeeh Mungu wa mileleeeeeh,
haleluya ooh
Uliniumba nikuabudu baba, (uliniumba nikuabudu), kwa ajili yako mimi naishi, ooh oh
umenipa sauti nikuimbie baba,
hata watu wote wanajua eeh baba ooh,
(uliniumba nikuabudu) ×2
mimi nasema uliniumbaaa heeeeh,
wewe ni nuru ya maisha yangu babaa,
(uliniumba nikuabudu)
wewe ni mwamba wa imani yangu babaa (uliniumba nikuabudu) ooh haleluya
Yes mataifa yote duniani njooni tumwimbie bwana,
maana fadhili zake ni za milele,
Daudi anasema hata wakati moyo wangu unakuwa na woga,
ni kwako Mungu ninajileta, maana hakuna aliyekutumainia akapata haya,
haleluya yesu ni mfalme.
Repeat chorus