
Nimezama Lyrics
- Genre:Amapiano
- Year of Release:2023
Lyrics
Nimezama - DVoice
...
Habibi nikulize swali kipi cha kukuongeaza kama unaona bado Sema kilicho pungua
(zuchu) vingine vyote tayari madeko kunidekeza umeniwezea ghamu Chali mh ushaniua
(dvoice)penzi lako ooooh ni maji naweza kuu-likapea
(zuchu) mamlaghaii n Kuni watuda wengi na figii
(dvoice)aah maana Raha zimezidi mpaka zani wagikiia
(zuchu)maana Raha zimezidi mapaka zani wagikia ufu kweli
ufu kweli wa bahari aah mikono
mikono tumeshikana ooh mawimbi
mawimbi yameshamiri nyoyo zimee
nyoyo zimesemesana
kwako nimezama, kwako nimezama
kwako nimezama, kwako nimezama
aah upande kanga ukinivalia
kiunoni shanga zinachungulia
ndo ugonjwa wangu, ndo ugonjwa wangu
Wala siendi Kwa mganga wakaniibia
ama nyakanga nimemridhia
sio shida zangu, sio shida zangu
naa huna lako biriani
lenye shomboshombo la mbuzi
ai napenda, unavyonisifu laini
aah nafaa Kwa matumizi ufu kweli
ufu kweli wa bahari,aah mikono
mikono tumeshikana, ooh mawimbi
mawimbi yameshamiri,nyoyo zimesemesana
kwako nimezama, kwako nimezama
kwako nimezama, kwako nimezama
(ili penzi limemshinda shetani kibarazani mtayaweza nyinyi wapambe wakafi barazani)*2