Jipe Shughuli Nani Lyrics
- Genre:Alternative
- Year of Release:2023
Lyrics
Put it down Eskimo
Najaribu kusettle na bado mi sijui (Mi sijui)
Najaribu mapenzi na bado mi sijui (Mi sijui)
Ati Kanzu hana pesa bado mi sijui (Mi sijui)
Unajua mangoma zangu na bado hunijui
Leo utanijua
Mapenzi na chuki
Maisha ni fupi
Pesa huishia
Pesa huishia
Ni ndai ama nduthi
Rungu na bunduki
Pesa huishia
Pesa huishia
Hey, woah, hey, woah (jipe shughuli nani)
Hey, woah, hey, woah (jipe shughuli nani)
Hey, woah, hey (jipe shughuli nani)
Hey, woah, hey, woah (jipe shughuli nani)
Hata kaa unanichukia
Hata kaa unanirukia
Hata kaa unaniumiza
(Maisha huendelea)
Hata kaa unanichomea
Hata kaa unanisomea
One day nitapotea
(Maisha huendelea)
Hey, woah, hey, woah (jipe shughuli nani)
Hey, woah, hey, woah (jipe shughuli nani)
Hey, woah, hey (jipe shughuli nani)
Hey, woah, hey, woah (jipe shughuli nani)
Najaribu kukata na bado mi sijui
(Mi sijui)
Natafuta sadaka na bado mi sijui
(Mi sijui)
Pengting wa Ruaka ameanza kunisaka
(Mi sijui)
Kanzu pale IG so basi utanifuata, vile Kumewaka
(Kumewaka, kumewaka)
18 baba yangu aliaga
So niko 18 nikisip lager
Ngeus kama Bey T na ako na haga
Nimeseti plus niko rada
Vile nimemedi plus niko waba
If you're still hating basi tema jaba (story za jaba)
Story za jaba yoh

Mi sijui
Mi sijui
Mi sijui