![Sio Wewe ft. Rich Mavoko](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/11/14/2a62a0df78904cd79b4e24ee4f5830e8_464_464.jpg)
Sio Wewe ft. Rich Mavoko Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Sio Wewe ft. Rich Mavoko - Nay Wa Mitego
...
S2kiz baby
Aaahh
Wanasema mchawi mpe mtoto
Raster man wake msokoto
Dawa ya mwizi ni mkong'oto
Si unajifanya mlevi kunywa gongo ya moto
Leo nawarusha kama kumbi kumbi
Yani kiuswazi kama disco vumbi
Ukitukaribisha twala hatuvungi
Halafu Minato mingi kama tumepakwa gundi
poteza Hela sio kumbukumbu
Unakalia chupa utachana mmmhhhh
Kuna nyeupe Kuna nyekundu
hata shetani lilikua ni toto la mungu
Nyota imeng'aa ona napepea(aahh)
Ndomana siwajibu wakiniongelea( aahh)
Samaki hafundishwi kuogelea(aahh)
Wanazima moto Kwa mate na umekolea
Hicho kihere here kitakuponza
Una Wivu na chuki ndomana unakonda
Siti ya mbele Dere nyuma ni konda
Pendekeza vya bure utashika bomba
Tatizo sio wewe
Tatizo sio Mimi
Tatizo ni ugumu wa maisha
Na pesa imeadimika
Tatizo sio weweeeee
Tatizo sio Mimiiii
Tatizo ni ugumu wa maisha
Na pesa imeadimika
....... instrumental beat......
Wanangu nikiwaka mnanijua verevere
Punguza mwendo mana Kuna kazi mbele
Unasema umeokoka umeokokaje
Unaogopa kufa mbinguni utafikaje
Chini Kuna miba na tunatembea peku
Ukiuliza vipi sisi ndo watoto wa yesu
Tunacheza kwetu
Uwanja ni wetu
Ushindi lazima mana ata refa ni wetu
Hicho kihere here kitakuponza
Una Wivu na chuki ndomana unakonda
Siti ya mbele Dere nyuma ni konda
Pendekeza vya bure utashika bomba
Rafiki yako yuda na hiyo ndo mistake
Tumetoka mbali tunahitaji respect
Mi ni maji sikwepeki,
Usiponinywa utanideki
Muda wa kazi sura mbuzi kiufupi hatucheki
Nazijua shida ndio mana Sina roho mbaya
Chuki zao ni baraka kwangu nazidi kufanikiwa
Tatizo sio wewe(chuki hasira)
Tatizo sio Mimi(wivu makasiriko)
Tatizo ni ugumu wa maisha
Na pesa imeadimika(eeehh)
Tatizo sio wewe(sio weweee)
Tatizo sio Mimi(sio mimi)
Tatizo ni ugumu wa maisha(ayayayayaa)
Na pesa imeadimika
The mix killer...
........instrumental beat...........