![Ameniona](https://source.boomplaymusic.com/group1/M00/01/E8/rBEehlpxbNiAOjytAABvsXdrKVU716.jpg)
Ameniona Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
Lyrics
Ameniona - Joel Lwaga
...
Ehhh pale kalivari penzi lako lilithihirika maishani Mwangu nitakupenda milele na milele...
Mateso yangu na mizigo nani angechukua
Huzunii na kilio nani angeondoa
Laana zangu na mikosi nani angetwaa
Aibuu yangu na majuto nani angefutaa
Deni langu la dhambi nani angelipa
Uzima wa milele nani angenipa
NAMWITA BABA ANIITA MWANA
Namwita Baba aniita Mwana
ANANIPENDA
Ananipenda Yesu
ANANIPENDA
Ananipenda Yesu
NAMI NAMPENDA
Nampenda yesu
NAMINAMUPENDAAA
Ninamupenda Yesu
Amebadili Historia yangu amegeuza taarifa zangu
(Kutoka kwenye aibu mpaka utukufu)
Mimi niliye kua chini ameniinua Bwanaa
(Kutoka mavumbini kuketii na wakuu)
Ameniinua nakunifuta machozi yangu
(Kutoka kwenye aibu mpaka utukufu)
Ahhhhhh...
(Kutoka mavumbini kuketi na wakuu)
BWANAAA....
ANANIPENDAA
Ananipenda Yesu
ANANIPENDA
Ananipenda yesu
NAMINAMUPENDA
Namnamupenda Yesu