Yesu Nijaze Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Nijaze - Bruz Newton
...
5678....
*****
check check around di check
yesu nijaze
yesu nijazee
yesu nijaze,nijaze ,nijazee
(kwa roho)
yesu nijaze
yesu njazee
yesu nijaze,nijaze,nijazee
(kwa roho)
naishi kwa mwili wokovu unadidimia nijaze na roho niweze jue ukweli na uongo
naishi kwa mwili,wokovu unadidimia nijaze na roho niweze jua ukweli na uongo
usiniache mie nisitete nisiangamie ili niitwe mwana wako niishi na nishibe kwa matunda yako
yesu nijaze
yesu nijazee
yesu nijaze,nijaze nijazee
(kwa roho)
yesu nijaze
yesu nijazee
yesu nijaze,nijaze,nijazee
(kwaroho)
jesus would you fill my cup,let it overflow let it overflow
say jesus would you fill my cup,let it over flow,let it over flow
usiniache mie,nisipotee,nisiangamie ili niitwe mwana wako niishi na nishibe kwa matunda yakoo
yesu nijaze
yesu nijazee
yesu nijaze,nijaze,nijazee
(kwa roho)
yesu nijaze
yesu nijazee
yesu nijaze,nijaze,nijazee
(kwa roho)
najua nikiwa nayesu siwezi katingika ju yesu amesimama na mi hadi mwisho
naomba mungu kizazi changu kinachokuja waishi na yesu na roho hadi mwisho
usiniache mie nisipotee ,nisiangamie ili niitwe mwana wako niishi na nishibe kwa matunda yako
yesu nijaze
yesu nijazee
yesu nijaze,nijaze,nijazee
(kwa roho)
yesu nijaze
yesu nijazee
yesu nijaze,nijaze,nijazee
(kwa roho)
jesus would you fill my cup,let it over flow,let it overflow
say jesus would you fill my cup,let it overflow let it over flow