Domo Zege Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2023
Lyrics
Mwenzako sikufichi
Nikimuona nalipuka moyoo
Uogaaa nashindwa kumwambia ukweli.
Sio siri namuhitaji nang'ang'ana tu kula kwa macho
Urofaaa namaliza tu soap bafuni.
Ona Maswali mengi najiuliza Sanaa
Akili anaisumbua nawazaa naye hajui.
Moyo na nafsi kutwa kugombana vidonda vinachoma
Mwilini vurugu mechiiiii!!
Ooh nafsi inatakaaa
niende kwa mganga nikaroge anipendee
Ooh moyoo unasemaaa
nimfuate mara moja nimueleze
Ooooooh siwezi
Domo langu zegee
Naomba nikutumee
Bora huende wewee
Asikatae mwenzake na wenge wenge.
Ukifika mweleze ongeza utamu wa tende
Anihurumie mwenzake domo zege.
Tenaaaa nakutegemeaa jahazi
Baharini hutonizamisha.
Kamaaa akikugomea ntakuwa
Hatariniii kitanzi nitajinyongea
Ooh nafsi inatakaa
niende kwa mganga nikaroge anipendee
Ooh moyoo unasemaaa
nimfuate mara moja nimueleze
Ooooooh siwezi
Domo langu zegee