Honey Lyrics
- Genre:Soul
- Year of Release:2023
Lyrics
Honey - Rijo Voice
...
Honey_ Rijo voice
Beats
Napoulizwa kitugani nimependa kwako
Siiogopi kusemaaa!
Natamani wangejuwa ninavyo faidi mieeee!
Wanakucheka wanasema imekula kwako
Wengi wanakusemaa, lakini hujali bado wewe unanipenda mieeee!
Kulala njaaa wewe hujali, kushinda njaa wewe hujali,,huvai nguo kama zao, sababu ni kwako nikama ajali!×2
Chochea kuni nilete dagaa baby
Songa kitonge tulee mamaaa!
Shushia togwa maisha ndiyo haya baby
Mbele tusonge tulia mamaaa!!!
Ooooh! honeyyy( beibyyy)
honeyyy ( beeibyy)honeyyy(beibyy wewee!!!) ooouh (huhuuuu)×3
You know I love you sweet!
Ooooh honeyyy(bebyyy)
Honeyy( beibyy)
Honeyy( uuuh !uuuuh!)x2
beats
Wanatamani sanaa weengi, kuwa kama sisiii
Lakini wanashindwa beibyy ,niamini mimiiii!
Wnaona gere jinsi sisi tunavyo pendanaa aaaaah!
Wanaomba tuachane iwe usiku au mchanaaaaah!
Kwao pesa zipo ,kwao magari yapo, lakini mapenzi hakunaaaaa!
kwetu sisii pesa hakuna ,, magari hakuna, lakini mapenzi shanta shantaaa!
Mpenzi wangu weeweee,
Nakuomba univumiliee,
Japokitu siinaaa!
Nakuomba usinikimbieee!
Washa moto wamapeenzi watu wauumie!
chorus
Kulala njaa wewe hujali,kushinda njaa wewe hujalii,huvainguo kama zao, kwa sababu kwako nikama ajali!
Ooooh honeyy(beibyy)honeyx2
Ooooh honeyy(beibyyweweeheeh)honeyy huuuhuuu!×2
You know I love you sweet!!
Oooohoneyy(beibyyyy)
Oooohoneyy(beibyyy) uuuh uuuuh!!!
beats