
Aste Aste ft. NdutaNotes Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2023
Lyrics
I met a pretty girl in Nairobi sasa amenichanganya na mapaja
Bila swali nilijipeleka ila sikujua hayo ni gharama
I remember like it was the first time
Now I'm only wishing that it was the last time
Lakini kabla hayo
Excuse me my lady
I've seen walking umenibamba deadly
I wanna take you out and make you my baby
Are we on for tonight at my place in my bed and she said
Aste Aste Aste Aste nipeleke Aste Aste Aste Aste
Lakini usiku wa manane
Wa manane huwezi jua ako wapi
Ako wapi eeh
Iendavyo tulikatika na hayo maziwa yamemwagika
Na mara masifa napimanishwa Aste Aste
Lakini kwa vile nimezamika na mahali nimefika
I'm way too deep way to deep inside
I'm sorry to say this
It's been a while and I've been seeing the same things
Don't even think that I don't know what you playing
Got my mind out your thighs
Out of your thighs and your lies
Aste Aste Aste Aste nipeleke Aste Aste Aste Aste
Lakini usiku wa manane
Wa manane huwezi jua ako wapi
Ako wapi eeh
Masiku zimechange tukabaki kuwa games
Ukipull up wanaona ATM no time no time usibaki umemblein
Maybe unataka kulay
Kila kitu inapatwa na bei
Unahakika uko solo kwa game
My friend my friend usiwahijiplay
Aste Aste Aste Aste nipeleke Aste Aste Aste Aste
Lakini usiku wa manane
Wa manane huwezi jua ako wapi
Ako wapi eeh