![Hayawani](https://source.boomplaymusic.com/group1/M00/58/62/rBEeMVohCJiAGGGhAABR4KZQZpA855.jpg)
Hayawani Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
Lyrics
[ti:NYASHINSKI - HAYAWANI]
Kabla swala ukamilishe Mama
Tafadhali Mola mwambie
Milele anichunge mi nisijezama
Mashetani yasinivamie
Chuki wivu tu na kutesana
Linda kwako usiwaskiiiyeyi
Kwanini hatuwezi sote kupendana
Oh wenzangu wacha niwaambie
Labda si sote wenda wazimu,
Labda laana yetu pesa
Kesho ukipoteza kila kitu,
Dunia mzima itakucheka
Wanaomba ntiliwe chai yangu sumu
Wabaki hao ndio kusema
Kesho wampigie demu wangu simu
Asahau alivyonipenda ona mahayawani
Hayayayayayayaya
Haya hawana hawa si watu hawa
Hayayayayaayayaya
Binadam kageuka mnyama
Hayawani hayawani hayawaniii
Hayayayayayayaya
Hayawani hayawani hayawaniii
Hayayayayayayaya
Tunaongezea nini bidii
Na roho ya mwanadam haitosheki aki
I'm sorry if I never made you happy
I can’t be there for everybody
But it’s easy to see
Wengi huishi tu kutafuta kasoro kwako
Why man so money-minded
You wanna take from everyone
Man eat man society
Huoni haya kuivunja familia
Hamna utu ni kujifikiria tu
Woi binadamu wote mmegeuka hayawani
Hayayayayayayaya
Haya hawana hawa si watu hawa
Hayayayayaayayaya
Binadam kageuka mnyama
Hayawani hayawani hayawaniii
Hayayayayayayaya
Hayawani hayawani hayawaniii
Hayayayayayayaya
Kabla swala ukamilishe Mama
Tafadhali Mola mwambie
Milele anichunge mi nisijezama
Mashetani yasinivamie
Chuki wivu tu na kutesana
Linda kwako usiwaskiiiyeyi
Kwanini hatuwezi sote kupendana
Binadamu acha niwaambie
Labda si sote wenda wazimu,
Labda laana yetu pesa
Kesho ukipoteza kila kitu,
Dunia mzima itakucheka
Wanaomba ntiliwe chai yangu sumu
Wabaki hao ndio kusema
Kesho wampigie demu wangu simu
Asahau alivyonipenda
Hayawani hayawaaa
Hayawani hayawaaa
Hayawani hayawaaa
Hayawani hayawaaa