Carrie Wahu Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2023
Lyrics
Rah, rah, rah
Kili boys, Kili boys, Kili boys
Rah, rah, rah
Kili boys, Kili boys, Kili boys
Rah, Kili boys
Kili boys
Rah
Ulidhani we ni Carrie Wahu, tulia
Babe, kuna vile unajisikia
Kwani we ni Carrie Wahu? Huh
Ulidhani we ni Carrie Wahu, relax
Ey, hujafika pass mark
Kwani we ni Carrie Wahu? Huh
Ni wapi umepata glow up
Ni wapi umetoa haga
Na sasa nimekuwa throwback
Umewacha kunitaka
Na sasa mi sijui rada
Rada, mi sijui rada
So basi unishow rada
Rada, si unishow rada
Eti, sasa umekuwa Carrie Wahu
Eti siku hizi umeanza kuwa Carrie Wahu
Nakucheki umeanza kuwa Carrie Wahu? Sawa
Ati, kumbe sasa we ni Carrie Wahu? Wazi
Haya basi twende, twende, twende
Pende usipende, twende, twende
Ati fashion police, wapi
Me I'm in my pj's clubbing
Lemme take a shot, aki
Wallai I look nice, aki
I'll never be your boo, that's a bit scary
You might be bad, but you're not Carrie
Me & my bestie will get married
You can be bad, but you're not Wahu
If you really love me, get my name tattooed
Make pilau, not fufu
If you hate me now, fuck you too
Ni wapi umepata glow up
Ni wapi umetoa haga
Na sasa nimekuwa throwback
Umewacha kunitaka
Na sasa mi sijui rada
Rada, mi sijui rada
So basi unishow rada
Rada, si unishow rada
Eti, sasa umekuwa Carrie Wahu
Eti siku hizi umeanza kuwa Carrie Wahu
Nakucheki umeanza kuwa Carrie Wahu? Sawa
Ati, kumbe sasa we ni Carrie Wahu? Wazi
Haya basi twende, twende, twende
Pende usipende, twende, twende
Na sasa umejulikana siku hizi
Ni vile umeiva sana siku hizi
Ni pete unatafutiwa na machali
Kitu ni tamu nitakidishi na ugali
Si kitu mbaya kujifeel
Si kitu mbaya kujichocha
Si kitu mbaya kujitii
Tumetoka mbali tangu ocha
And if they talk bad toa kidole
Kaa hakuna form basi tuichore
Pombe si kidogo jaza kikombe
Wakitalk sana toa kidole, toa kidole