Njaa Kali ft. Coyo Lyrics
- Genre:Trap
- Year of Release:2023
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Njaa Kali ft. Coyo - Gwaza19
...
Gwaza...
Eiyo Gwaza ...
(chorus)
Uliza kapuku na doni/
wa buku na mamilioni/
msako usiku kama morning,
hizi nyakati kama sizisomi/
Njaa Kali..
siku hizi wote njaa Kali..( wote nenge nenge )
Njaa Kali..
siku hizi wote njaa Kali..( wote nenge nenge )
( verse )
Nilisha kutana na mengi nikageuka PATO na Mimi nika RUN (KING)/
walio letaga ushenzi wakileta kuni muhuni na burn (tings)/
.....ukija utaumia/
......hatuna hata Mia/
club za kwenu za kwetu tunatimba na jambiah/
na Kwa njaa Kali, wahuni hatuoni hatari kukuweka bondi/
zote njaa Kali, wahuni show za kiba kumpaga mondi/
(chorus)
Uliza kapuku na doni/
wa buku na mamilioni/
msako usiku kama morning,
hizi nyakati kama sizisomi/
Njaa Kali..
siku hizi wote njaa Kali..( wote nenge nenge )
Njaa Kali..
Unakimbilia Blantyre/upate japo sapphire/
bado hakuna/
unakimbilia Durban/ unakoswakoswa na Gurn/
Porto Rico....
so Rudi home bro....
Tanzania papoo... njoeniii..
japo Badoo...
lakiii.....
hazipatikani kabisa/
labda watu wenye majina/
hata watu wenye majina/
kunamambo yamejifinya eeeh/
(chorus)
Uliza kapuku na doni/
wa buku na mamilioni/
msako usiku kama morning,
hizi nyakati kama sizisomi/
Njaa Kali..
siku hizi wote njaa Kali..( wote nenge nenge )
Njaa Kali..
siku hizi wote njaa Kali..( wote nenge nenge )
Unakimbilia Blantyre/upate japo sapphire/
bado hakuna/
unakimbilia Durban/ unakoswakoswa na Gurn/
Porto Rico....
so Rudi home bro....
Tanzania papoo... njoeniii..
japo Badoo...
lakiii.....
hazipatikani kabisa....