![Nimelewa](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/04/26/168802c49c654e20b72c876c9a3450b9_464_464.jpg)
Nimelewa Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2023
Lyrics
Nimelewa - K2GA
...
Nimelewa eeeh nimelewa (eeeh nimelewa)
Nimekunywa sana nimelewa (eeh nimelewa)
Mie nimelewa ooh nimelewa ( eeh nimelewa)
Eh nimekunywa pombe nimelewa (eeh nimelewa)
Mbona nyinyi hamulewi wenzangu au mnanitegea
Mbona kama nalewa pekeyangu nyie nimewastukia
Kachili ooh kachili (saga)
Kachili mama kachili (saga)
Starehe yangu mwenyewe inanipa changamoto (saga)
Pombe napenda mwenyewe (saga)
Zinaitoa jasho (saga)
Baridi (saga)
Za moto (saga)
Zinashuka si kitoto (saga)
Nimelewa eeeh nimelewa (eeeh nimelewa)
Nimekunywa sana nimelewa (eeh nimelewa)
Mie nimelewa ooh nimelewa ( eeh nimelewa)
Eh nimekunywa pombe nimelewa (eeh nimelewa)
Mgeukie mwenzio mwambie nakupenda
Mnong'oneze mwenzio mwambie nakupenda
Wamineso wamineso (nesa nesa nesa nesa)
Wamiyumbo miyumbo (yumba yumba yumba yumba)