![RIGHT NOW](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/04/14/fe42fc01500743cd87d38403d8bfe51e_464_464.jpg)
RIGHT NOW Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Ye. ye ye
Wanakwambia mimi uniwezi
Muhuni mmoja mnywezi,siwezi handle mapenzi
Napenda ponda raha
Lotta babies kitaa
Off twende zetu Kinyerezi
Ama pande za Mbezi,tudumishe letu penzi
Twajua kushine like stars
Tuwavimbie mitaa
Kitaa, kitaa mtoto wa kitaa
Kuskia hisia zangu ukunikwepa ulifulai
Mapenzi ya kweli
Siwesi ficha ukweli mtoto mzuri tujidai
So high too high one day tuta fly
Unabeba kijiji nakaa mbele niwe taa
Naomba tusifeli
Nabeba hatima yako unajua won't make you cry
Sasaiv, bora niflai we ni wangu wa kwangu
Sasaiv, nisiwe late mmoja akaitwa na Mungu
Kweli, sasaiv
Mapenzi, nakwaidi
Tufaidi, tufaidi
Ka Zayn na Didi
I gat none to stop
You're love girl give's me hope
Wanasema umenipa upofu
Muhuni nshaachaga soap
We gat our path to go
We lowkey plus we dope
Uzuri wako uwoo
Nifanye designer wako
Sasaivi, sasaivi, sasaivi
Sasaiv, kukuacha siwezi, tufuraie penzi, annhaa
Woke up hey, no bitch stays
Nipotezee
Nina wangu slay, smart ass waves
Jiongeze
Acha hisia zituliage pia
Tbt life mbona nshaanza jutia
You're best from them wacha nipoe dear
Muhuni nakosa na usemi maana umenishika clear
Maana umenishika clear
Never felt this before shori umechangia
I feel you kwa mboni zangu hata nikisinzia
Ayo macho io figure you gat CGy leta bills mimi nitalipia
Tuweke moja nia
My heart nshakugaiya
Love
Ntakupa na maji chumvi pia
Sasaiv hivi right now, hivi right now
Oooh ye yeeah, CGy