![Baadaye](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/04/12/83c17c3c7be54faea2198c9ebeda1700_464_464.jpg)
Baadaye Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2023
Lyrics
Baadaye - Amos and Josh
...
Ni how uliniacha mih bila fahamu kuwa ni yako zamu angalau ungeniambia eti unakam nitulize hamu wangu wa dhati eei njama zangu zimenikwamiaa mikononi labda huu ni mwisho wa dunia safiri salama msalimu maulana tutaonana baadaye uuuh safiri salama msalimu maulana tutaonana baadaye uuuh ndioo oooh tutaonana baadaye mpendwa ndioo oooh tutaonana baadaye