Pekecha Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2023
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Pekecha - Rickchazy
...
acha watulie nikwambie eheehhe ninaekupenda ni wewe
nawewe ujue ,utambue (ohohoooo ) furaha yangu ni wewe
acha watulie nikwambie eheehhe ninaekupenda ni wewee)
nawewe ujue ,utambue (ohohoooo ) furaha yangu ni wewe
baby wape kisogo sambeee linga kidogo one day onesha mikogo shangweeee
mamaeeeeehh ,mamaoooohh
baby wape kisogo sambeee linga kidogo ,one day onesha mikogo shangweeee)x2
mamaeeeeehh ,mamaoooohh
mamaeeeh ,mamaoooh
mamaeeheh mamaooooh mama iyoiyoiyooo iyohooo
mamaaa
mama iyoiyoiyooo iyohooo iyooo mamaaaa .
mama pekecha pekechua peke , pekecha pekechua )x3
wathamani kijiko changu nakutumia.
kwa sahani chakula manjonjo na jipakulia.
si kwa jilani kwangu ndani nikifurahia.
haki yanani nashukuru mola amenijalia.
tahabani maneno ya watu sitaki kusikia .
baby wape kisogo sambeee linga kidogo
,one day onesha mikogo shangweeee.)x2
mamaeeeeehh ,mamaoooohh
mamaeeeh ,mamaoooh
mamaeeheh mamaooooh mama iyoiyoiyooo iyohooo
mamaaa
mama iyoiyoiyooo iyohooo iyooo mamaaaa .
mama pekecha pekechua peke , pekecha pekechua )x3