Sio Mimi Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2023
Lyrics
Yaaaa iyele
Yaaaa yaba
Yaaaa iyele
Yaaaa yaba
Nimechoka na kudanyangwa
Nimeona we ushajichanga
Umejifanya we ndiye mhanga
Tafakari unayoya fanya
Je
Je
Nije nikupe
Yakusepa uwe yule
Mwenye vidonge vile
Vinavyo changanya ndume
Sio sio sio sio mimi
Dige geria gugu te gugute
Sio sio sio sio mimi
Nilazima nikupende wewe
Sio sio sio sio mimi
Dige geria gugu te gugute
Sio sio sio sio mimi
Nikubalishe
Wewe akinukuonyehse
Aki
Aki
Aki
Aki
Akinukuonyeshe
Aki
Aki
Aki
Aki
Aki
Akinukuonyeshe
Uko special
Uko special
Uko special
Uko special
Aki
Aki
Aki
Aki
Aki
Akinukuonyeshe
Yaaaa iyele
Yaaaa yaba
Yaaaa iyele
Yaaaa yaba
Sijachoka na wewe
Ukanapotential mingi tuseme
Nataka unielewe
Wakikucheki wanaskia kumeza wembe
Kwanini wanakwonea wizu
Kiitisha maji heri waitie sumu
Oh yeah
Sio maajabu
Wakikukana hata bila vijisababu
Je
Je
Nije nikupe
Yakusepa uwe yule
Mwenye vidonge vile
Vinavyo changanya ndume
Je
Je
Nije nikupe
Yakusepa uwe yule
Mwenye vidonge vile
Vinavyo changanya ndume
Sio sio sio sio mimi
Dige geria gugu te gugute
Sio sio sio sio mimi
Nilazima nikupende wewe
Sio sio sio sio mimi
Dige geria gugu te gugute
Sio sio sio sio mimi
Nikubalishe
Wewe akinukuonyehse
Sio sio sio sio mimi
Dige geria gugu te gugute
Sio sio sio sio mimi
Nilazima nikupende wewe