![Pole ft. Ruby](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/03/28/ec94cf91c356441ab0a308b24f8db05f_464_464.jpg)
Pole ft. Ruby Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2023
Lyrics
Pole ft. Ruby - Mbosso
...
iiiiiii iwiwiiwiiii
aiweewewewe weeee*2
ooh sweet sweet sweet nsikilizee
sweet sweet niseme nimalizee
munguu ametukutanisha sweet ehh
anamaanayake ....
munguu katuunganisha sweet wangu kwa neema zakee
I tell my mom I want mary you
nije kwenu nitoee mahari
mm na ww tuanze safar
ya mbal kinaa aaaaa
mbaazi na chorokoo hutafauti hoto hujua
jungu juu wake ukoko yann kuukwanguaa
mie ndama kwako mtoto usije kunikafua penz 2lipashe motoo wakigusa waungua
mithiri ya watoto mapacha 2navyo pendana mambo ya uzunguu na usasaa
tunayoo peana
penzi twalivujisha pakacha 2navujiana
wale wenye uchu wapaka Ili penzi lawakwama
baby
nasikia twawaumizaa
pole 2nawapa polee
penz lawakereketa
pole 2nawapa polee
ooh acid wa2wabaya
pole 2nawapa pole
wabayaa Penzi Panadol pengine watapoaa
pole tunawapa poleee