![Ametenda Zaidi](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/03/03/45843b63ffca4a41a0b60e5fed70f660_464_464.jpg)
Ametenda Zaidi Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Ametenda Zaidi - Kambua
...
toka mwanzo nlijua Mungu atafanya sababu najuua ashindwi, ila nilidhani Mungu atafaanya sawa sawa na mawazo yaangu, kumbe ninavyoowaza ni tofauti na Mungu anavyo niwaziaa, leo amenishagaza Bwana,amefanya zaidi ya nilivyowaza, CHORUS ( baraka,kanipa zaidi ya nilivyo omba, amenipa kicheko. watoto kanipa zaidi ya nilivyo omba, amenipa kicheko. afya,kanipa zaidi ya nilivyo omba, amenipa kicheko) ametenda zaidi ya nilivyo omba, bwana amenipa kiiicheko, ametenda zaidi ya mawazo yangu,bwana amenipa kiiicheko, BACK TO CHORUS. anasema anajua ninayoitaji,aaata kabla sijaombaaah, kuna vitu ninadhani siitaji,hila yeye anajua ninahitaji, nikimwonba mkate ananipa na maji,anajua nitapata kiu tu, nisiyo yajua,yeye anayajua,atakama ni mambo madogo tu, maitaji yangu leoooooh(leo) maitaji yangu keshoooh(keshoo) leo amenishagaza Bwana, amefanya zaidi ya nilivyowaza, ( ametenda zaidi ya akili yangu, bwana amenipa kicheko, ametenda zaidi ya mawazo yangu, bwana amenipa kicheko,)×2 BACK TO CHORUS..