![Nisamehe](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/08/16/48ca8071ecf04eedaf8c72eacfee3ceeH3000W3000_464_464.jpg)
Nisamehe Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Nisamehe - Tumaini Shangilieni Choir
...
Nisamehe, nisamehe, nisamehe baba yangu,
Nakuja kwako, nakuja kwako baba Mimi mwenye dhambi,
Moyo wangu unajuta kwa dhambi zangu nilizotenda,
Narudi kwako, narudi kwako baba yangu nisamehe, X2.
Bridge
Leader: Ninakuita ABA,
All: Baabaaa
Leader: Samehe makosa yangu?
All: Baabaaa
Leader:Samehe dhambi zangu
All: Baabaaa
Leader: Naomba futa hukumu yangu,Hata kama dhambi zangu zikiwa nyekundu,,
All: Baabaaa
Leader: Utanisafisha niwe mweupe
All: Baabaaa
Leader: Mweupe kuliko sufu
All:Baabaaa
Leader: Nakutegemea wewe, ukiniacha nitakwenda wapi?
All: Baabaaa
Leader: Ukiniacha nitafanya nini?
All: Baabaaa
Leader: Ukiniacha nitapotea
All: Baabaaa
Leader: Unishike kwa mkono wako,
Moyo wanguuu,
All: Moyo wangu unauma, nafsi yangu inajuta,
Leader: Natubu
All: Natubu Baabaaa
Leader: Natubuu
All: Natubu makosa na dhambi mbele yako,
Leader: Moyo wanguuu,
All: Moyo wangu unauma, (leader: kwa niliyoyayenda) nafsi yangu inajuta,
Leader: Natubu
All: Natubu Baabaaa
Leader: Natubuu
All: Natubu makosa na dhambi mbele yako,
Leader: Ninakuita ABA,
All: Baabaaa
Leader: Samehe makosa yangu?
All: Baabaaa
Leader:Samehe dhambi zangu
All: Baabaaa
Leader: Naomba futa hukumu yangu,Hata kama dhambi zangu zikiwa nyekundu,,
All: Baabaaa
Leader: Utanisafisha niwe mweupe
All: Baabaaa
Leader: Mweupe kuliko sufu
All:Baabaaa
Leader: Nakutegemea wewe, ukiniacha nitakwenda wapi?
All: Baabaaa
Leader: Ukiniacha nitafanya nini?
All: Baabaaa
Leader: Ukiniacha nitapotea
All: Baabaaa
Leader: Unishike kwa mkono wako,
Moyo wanguuu,
All: Moyo wangu unauma, nafsi yangu inajuta,
Leader: Natubu
All: Natubu Baabaaa
Leader: Natubuu
All: Natubu makosa na dhambi mbele yako,
Leader: Moyo wanguuu,
All: Moyo wangu unauma, (leader: kwa niliyoyayenda) nafsi yangu inajuta,
Leader: Natubu
All: Natubu Baabaaa
Leader: Natubuu
All: Natubu makosa na dhambi mbele yako,
Solo: Ninasimama mbele ya kiti Cha hukumu,
Nanyenyekea nipate Toba mbele zako,
Najua utanishika niwe salama mbele zako,
Najua utanishika niwe huru mbele zako,
Utanishika!
All: Utanishikaaaa
Leader: Kwa mkono wako
All: Kwa mkono wako, Utanishikaaaa
Leader: Kwa nguvu zako,
All: Kwa nguvu zako, utanilinda kwa neno lako
Leader: Huwezi niacha,
All: Utanilinda kwa damu yakooo
Leader: Wewe mwaminifu Yesu, utanishika
All: Utanishikaa,
Leader: Kwa mkono wako,
All: Kwa mkono wako
Leader: Siwezi potea
All: Utanishikaa,
Leader: Kwa nguvu zako
All: Kwa nguvu zako, utanilinda kwa neno lako,
Leader: Oooh
All: Utanilinda kwa damu yakooo
Leader: Usiache roho yangu uu, iangamizwe kuzimu,
All: Usiache roho yangu ielekee kuzimu,
Leader: Usiache giza lake,
All: Usiache giza lake lisije likanipata, moyo wangu wajutia kwa dhambi nilizotenda
Leader: Natubu babaa
All: Natubu Baabaaa
Leader: Natubu Baabaa
All: Natubu makosa na dhambi mbele yako,
Leader: Nimekosa
All: Natubu Baabaaa
Leader: Natubuu babaa
All: Natubu makosa na dhambi mbele yako nisameheee
Leader: Usiache moyo wangu, ukapotea
All: Usiache roho yangu (Leader: Naomba) ielekee kuzimu uu,
Leader: Usiache giza lake,
All: Usiache giza lake (leader:Mimi ni wako tu) lisije likanipata,
Leader: Moyo wangu,
All: Moyo wangu wajutia kwa dhambi nilizotenda
Leader: Natubu babaa
All: Natubu Baabaaa
Leader: Nisamehe
All: Natubu makosa na dhambi mbele yako
Leader: Nanyenyekea babaaa
All: Natubu Baabaaa
Leader: Nisamehe
All: Natubu makosa na dhambi mbele yako nisameheee
Solo: Kama yala, yaona yangu shauku maji ya mito,
Ndivyo moyo wangu, wakuonea shauku Mungu wangu,
Lakini maovu yangu yameniweka mbali nawe,
Na dhambi zangu zimeuficha uso wako,
hata sioni
(two: )Ninataka nikwimbie tu, nataka nikwimbie tu,
moyo wangu ukusifu tu, usiniache
Chorus
Usiache roho yangu ielekee kuzimu,
Usiache giza lake lisije likanipata,
moyo wangu wajutia kwa dhambi nilizotenda, Natubu Baabaaa, Natubu makosa na dhambi mbele yako, Natubu babaa, Natubu makosa na dhambi mbele yako nisameheee,
Leader: Usiache moyo wangu, ukapotea
All: Usiache roho yangu (Leader: Naomba) ielekee kuzimu,
Leader: Usiache giza lake,
All: Usiache giza lake (leader:Mimi ni wako tu) lisije likanipata,
Leader: Moyo wangu,
All: Moyo wangu wajutia kwa dhambi nilizotenda
Leader: Natubu babaa
All: Natubu Baabaaa
Leader: Nisamehe
All: Natubu makosa na dhambi mbele yako
Leader: Nanyenyekea babaaa
All: Natubu Baabaaa
Leader: Nisamehe
All: Natubu makosa na dhambi mbele yako nisameheee